Bei ya ngano haishikiki mkoani Lindi
August 28, 2024 6:02 pm ·
Mlelwa Kiwale

Gunia la kilo 100 la ngano linauzwa kwa bei ya juu katika mkoa wa Lindi kwa Sh400,000, karibia mara 6 ya bei ya chini iliyorekodiwa Rukwa ambayo ni Sh65,000 tu.
Latest
12 hours ago
·
Lucy Samson
TMA: Mvua kubwa kunyesha kesho katika mikoa mitano
17 hours ago
·
Lucy Samson
Jenista Mhagama afariki dunia
2 days ago
·
Fatuma Hussein
Jeshi la Polisi: Hali ya usalama ni shwari Tanzania
2 days ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadili fedha Tanzania Desemba 10, 2025