Bei ya ngano haishikiki mkoani Lindi

August 6, 2024 2:38 pm · John Francis
Share
Tweet
Copy Link

Gunia la kilo 100 la ngano linauzwa kwa bei ya juu katika mkoa wa Lindi kwa Sh400,000, karibia mara 6 ya bei ya chini iliyorekodiwa Rukwa kwa Sh70,000 tu.

Follow Us on TikTok

Subscribe to Our YouTube Channel

Subscribe

Loading videos...

Loading videos...

Loading videos...

Enable Notifications OK No thanks