Ruvuma,Iringa kicheko bei ya Mahindi

October 21, 2024 6:39 pm · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Kununua gunia la mahindi la kilo 100 mkoani Ruvuma na Iringa itakulazimu kulipia Sh48,000 ambayo ni mara 20 zaidi ya bei ya juu iliyorekodiwa mkoani Dar es Salaam, Kilimanjaro na Pwani ya Sh100,000 kwa gunia la kilo 100.

Wakati mikoa hiyo ikifurahia bei hiyo, mkoani Lindi bei ya ngano bado ni maumivu baada ya kurekodiwa kuuzwa kwa Sh400,000 kwa gunia la kilo 100 ambayo ni mara 5 zaidi ya ile iliyorekodiwa mkoani Rukwa ya Sh70,000.

Enable Notifications OK No thanks