Bei ya maharage haishikiki Mwanza, Lindi

October 5, 2022 5:14 pm · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Bei ya maharage kwenye mikoa hiyo yafika Sh360,000
  • Mkoa wa Iringa ndio wenye bei ndogo zaidi ya zao hilo.

Bei ya jumla ya maharage katika mikoa ya Mwanza na Lindi imepanda na kufikia Sh360,000, jambo linalonufaisha wafanyabiashara na wakulima wanaopeleka mazao kwenye mikoa hiyo.

Bei hiyo iliyorikodiwa kwenye mikoa hiyo ni ya jumla kwa kila  gunia la kilo 100.

Takwimu za mazao makuu ya chakula zilizotolewa leo Octoba 5, 2022 na Wizara ya Viwanda na Biashara  zinaonyesha kuwa bei inayotumika katika mikoa hiyo miwili ndiyo bei ya juu kuliko maeneo mengine nchini.

Pia bei wanayonunua wakazi wa mikoa hiyo ni mara mbili ya inayotumika mkoani Iringa.

Wakazi wa Iringa wananunua gunia la kilo 100 la maharage kwa Sh180,000.

Maharage ni miongoni mwa mazao makuu ya chakula nchini Tanzania.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
27 Jul, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
27 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
27 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Nukta TV

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Nukta TV

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Nukta TV