Viwango vya kubadili fedha Tanzania Oktoba 28, 2025
October 28, 2025 9:54 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Oktoba 28, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest
2 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Yafahamu majimbo 46 yanayosubiri kura ya ndio au hapana
3 hours ago
·
Fatuma Hussein
Kishindo cha wanawake majimboni 2025
5 hours ago
·
Lucy Samson
Fahamu utaratibu wa watu wenye ulemavu kupiga kura Oktoba 29
22 hours ago
·
Daniel Samson
Safari ya wanawake kugombea urais inavyoimarika Tanzania