Viwango vya kubadili fedha za kigeni Januari 30, 2025
January 30, 2025 10:32 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Januari 30, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest
3 days ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia aongoza mamia kuaga mwili wa Jenista Mhagama Dodoma
3 days ago
·
Fatuma Hussein
Waziri Masauni achaguliwa Makamu wa Rais UNEA
4 days ago
·
Kelvin Makwinya
Serikali yajipanga kufikia asilimia 80 ya utoaji huduma kidijitali
4 days ago
·
Fatuma Hussein
Jenista kuzikwa Desemba 16, mkoani Ruvuma