Viwango vya kubadili fedha Tanzania Oktoba 2, 2025
October 2, 2025 8:53 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Oktoba 2, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest
5 days ago
·
Waandishi Wetu
Mamilioni kuamua hatma ya Tanzania Uchaguzi Mkuu 2025 leo
5 days ago
·
Mwandishi
Pazia kampeni za uchaguzi lafungwa leo
5 days ago
·
Kelvin Makwinya
Yafahamu majimbo 46 yanayosubiri kura ya ndio au hapana
6 days ago
·
Fatuma Hussein
Kishindo cha wanawake majimboni 2025