Viwango vya kubadili fedha Tanzania Oktoba 13, 2025
October 13, 2025 10:34 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Oktoba 13, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

2 hours ago
·
Fatuma Hussein
Tunachokijua kuhusu ugonjwa wa sikoseli Tanzania

3 days ago
·
Fatuma Hussein
WHO: Watu zaidi ya milioni 300 duniani wanahitaji msaada wa afya ya akili

4 days ago
·
Lucy Samson
Wizara ya Elimu yatangaza ufadhili wa masomo Russia

4 days ago
·
Fatuma Hussein
Marekani yaiwekea Tanzania masharti dhamana ya viza