Viwango vya kubadili fedha Tanzania Oktoba 14, 2025
October 14, 2025 9:46 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Oktoba 14, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

21 minutes ago
·
Kelvin Makwinya
Si kweli: TEC imetoa waraka kuhusu Uchaguzi Mkuu 2025

2 hours ago
·
Fatuma Hussein
Simulizi ya mashujaa wa sikoseli Tanzania

19 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Trump awasili Israel akielekea kwenye mkutano wa amani Misri

22 hours ago
·
Lucy Samson
Serikali kuzindua mradi wa Sh 99.8 bilioni kudhibiti magonjwa, dharura za afya