Biography

Daniel Samson
Digital and Data Journalist
emaildanielsamson89@gmail.com
phone0653983001
world
Daniel Samson ni mhitimu wa Shahada ya Uandishi wa Habari kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na amepata mafunzo mbalimbali katika tasnia ya habari duniani kutoka mashirika kama Code for Africa, TAMWA, JamiiForums na Digital Opportunity Trust (DOT). Kwa sasa Daniel ni Mwandishi wa habari za Elimu, Biashara, Uchumi na Data wa kampuni ya Nukta Africa Limited yenye makao yake makuu jijini Dar es Salaam. Wakati wa muda wa ziada, Daniel husoma vitabu, hujumuika na marafiki na huepnda kutembelea maeneo mbalimbali ya vivutio vya utalii.