Rais Samia aungana na Watanzania kumuaga Dk Ndugulile

December 2, 2024 10:56 am · Davis Matambo
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na viongozi wa Serikali, familia, na wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mbuge wa jimbo la Kivukoni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya kanda ya Afrika, aliyeaga dunia Novemba 27, 2024.

Shughuli ya kumuaga Dk Ndugulile inafanyika leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Dk Ndugulile alifariki dunia Novemba 27, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu ikiwa ni miezi mitatu tangu achaguliwe kuwa Mkurugenzi Mteule wa WHO kanda ya Afrika.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
17 Aug, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
17 Aug, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Rais Samia: AFCON ni fursa, wawekezaji karibuni kuwekeza

Rais Samia: AFCON ni fursa, wawekezaji karibuni kuwekeza

Nukta TV

Utani wa Rais Samia, matokeo kati ya Simba na Yanga

Utani wa Rais Samia, matokeo kati ya Simba na Yanga

Nukta TV

Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Nukta TV