Kilimo cha kisasa bado bado Tanzania

April 23, 2022 6:28 am · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Sensa ya Taifa ya Kilimo Tanzania ya mwaka 2019/20 ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), asilimia 33.3 au theluthi ya kaya za wakulima hutumia matreka au majembe ya kukokotwa na wanyama kulimia mashamba yao huku Mkoa wa Dodoma ukiongoza Tanzania kwa matumizi ya vifaa hivyo.

​Hata hivyo, wakulima wengi bado wanatumia majembe ya mkono, jambo linalowazuia kuongeza uzalishaji wa mazao bora ya kilimo na soko la kimataifa. Unafikiri nini kifanyike kuwawezesha wakulima kulima kilimo cha kisasa?

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
29 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
29 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Nukta TV

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Nukta TV

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Nukta TV