Karibu theluthi moja ya Watanzania hukopa fedha kwa ajili mahitaji ya kujikimu

February 16, 2023 7:11 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Nchini Tanzania, karibu theluthi moja (asilimia 31.8) ya kaya zinachukua mkopo kwa ajili ya mahitaji ya kujikimu ikiwemo chakula na malazi.

Kwa mujibu wa ripoti ya Kufuatilia Hali ya Kaya Tanzania (NPS) ya mwaka 2020/21 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), asilimia 26.4 walichukua mkopo kwa ajili ya kununua pembejeo za biashara.

“Mwenendo huu ni kweli kwa jinsia ya mkuu wa kaya, na matumizi sawa ya mkopo/mikopo iliyopokelewa na wote wawili kaya zinazoongozwa na wanawake na wanaume,” imeeleza ripoti hiyo.

Ni watu wachache sana nchini Tanzania (asilimia 0.5) wanatumia mkopo kwa ajili ya kununua mashine za kilimo. 

Wewe ukichukua mkopo unatumia kufanyia nini?

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
7 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
7 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Nukta TV

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Nukta TV

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Nukta TV