Corona bado ipo Tanzania, chukua tahadhari

February 9, 2022 12:46 pm · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Wizara wa Afya imesema hadi kufika Februari 6, 2022 jumla ya watu 33,482 wamethibitika kuwa na maambukizi ya Corona (Uviko-19) na 792 kati yao wamepoteza maisha huku Serikali ikiimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Hata hivyo, amesema mwenendo wa utoaji wa chanjo ni wa kuridhisha ambapo takwimu za Februari 6, 2022 jumla ya watu milioni 2.11 milioni sawa na asilimia 3.6 ya Watanzania waliokuwa wamepata chanjo kamili.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
17 Aug, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
17 Aug, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Rais Samia: AFCON ni fursa, wawekezaji karibuni kuwekeza

Rais Samia: AFCON ni fursa, wawekezaji karibuni kuwekeza

Nukta TV

Utani wa Rais Samia, matokeo kati ya Simba na Yanga

Utani wa Rais Samia, matokeo kati ya Simba na Yanga

Nukta TV

Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Nukta TV