Wananchi zaidi ya 200,000 wapata chanjo ya Corona Tanzania

August 16, 2021 10:24 am · Clifford
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kuratibu zoezi la uchanjaji wa chanjo ya Corona aina ya Johnson & Johnson kwa makundi ya walengwa (watumishi wa afya, watu wenye umri wa miaka zaidi ya 50 na wagonjwa).

Hadi kufikia Agosti 14, 2021 jumla ya walengwa 207,391 walikuwa wameshapatiwa chanjo. Kati ya walengwa hao, 121,002 ni wanaume sawa na asilimia 58.3..

Unasubiri nini kuchanjwa?

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

Nukta TV

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

Nukta TV

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Nukta TV