Maoni & Uchambuzi
Maoni & Uchambuzi · April 17, 2026 3:43 pm
High speed and reliable internet is needed in every aspect of human life from education, family growth, governance to business.
Maoni & Uchambuzi · March 26, 2026 10:34 am
Residency programs including Nukta Lab Graduate Residency Program may respond to this need.
Maoni & Uchambuzi · March 20, 2026 12:50 pm
Kuchora hina ni ishara ya usafi, furaha, urembo katika matukio maalum kama sikukuu za Eid pamoja na harusi.
Maoni & Uchambuzi · January 23, 2026 5:51 pm
Mchakato wa Jamii Namba umefikia wapi? Wananchi wataanza lini kuitumia kupata huduma mbalimbali?
Maoni & Uchambuzi · January 2, 2026 12:30 pm
Kwa kuangalia kiasi ambacho misemo hiyo imeenea na kutumika katika jamii, Nukta habari tumekuletea misemo iliyovuma zaidi kwa mwaka 2025.
Maoni & Uchambuzi · December 20, 2025 11:54 am
Matukio hayo ni vifo vya watu vilivyotokana na ajali, maandamano ya Oktoba 29, vifo vya watu mashuhuri pamoja na kesi na kutoweka kwa viongozi wa siasa.
Maoni & Uchambuzi · August 1, 2025 9:50 am
Nowadays, artificial intelligence (AI) offers numerous capabilities that can assist farmers in enhancing their productivity.
Maoni & Uchambuzi · April 9, 2025 6:29 pm
Siasa ni makundi ni magenge. Bila makundi, hakuna siasa. Bila tofauti za mitazamo, maslahi na matamanio, hakuna hoja, hakuna ushindani wa fikra, na hatimaye hakuna uhai wa kisiasa. Vyama vya siasa si taasisi tupu ni majukwaa ya kuwakutanisha makundi ya watu wenye misimamo, mitazamo, na masilahi tofauti, lakini wenye lengo la pamoja: kusukuma mbele maono […]
Afya & Maisha · February 25, 2025 1:49 pm
Ikiwa hufahamu aina za mitandio, makala hii ni kwa ajili yako ambapo tutaangazia aina hizo ili usipitwe na mitindo ya vazi hilo
Maoni & Uchambuzi · January 23, 2025 4:24 pm
Meneja Programu wa televisheni ya Crown (Crown TV), mwanzilishi wa podicasti ya ‘Dig It With Imani’ Dar es Salaam. Akiwa katika masomo ya sekondari alitamani kuwa mwanasheria mbobevu. Ndoto yake haikutimia kama alivyotarajia pale alipojiunga chuo kikuu baada ya kujikuta akibadili mwelekeo wa taaluma yake. Uanasheria wake ulibaki ndotoni tu. Huyu ni Imani Henrick, Meneja […]
Maoni & Uchambuzi · December 19, 2024 5:48 pm
tumia mbinu hizi kuhakikisha usalama wa mali zako unapohama.Mbinu hizi zinaweza kuokoa gharama ya kununua samani mpya kila mara unapohamia ofisi au nyumba mpya.
Maoni & Uchambuzi · December 11, 2024 2:22 pm
Tanzania is among the African countries with few farmers who apply modern irrigation systems and the solar-powered water pumps pose a breakthrough for small-scale farmers currently facing unpredictable rainfall.
Maoni & Uchambuzi · December 7, 2024 2:08 pm
The internet has changed how people produce, distribute, and monetise their online material, leading to the rise of the creative economy.
Maoni & Uchambuzi · September 13, 2024 2:26 pm
Arusha. Umewahi kuamka asubuhi ukajikuta na furaha na baada ya muda ikawa imetoweka? Vivyo hivyo kadri siku zinavyoenda, hisia zako zikawa hazieleweki. Mara hasira, mara upendo na muda mwingine kuhisi ya kuwa hauna haja ya kujali yaani, liwalo na liwe? Leo katika ulimwengu wa filamu, ni kana kwamba hisia zako zina dereva zaidi ya mmoja. […]
Maoni & Uchambuzi · July 20, 2024 6:26 am
Telecoms should innovate services that cater for everyone according to income, education and locality.