Misemo iliyoshika kasi mwaka 2025
January 2, 2026 12:30 pm ·
Fatuma Hussein
- Wahenga hawaamini ni miongoni mwa msemo ulitumika zaidi mwaka 2025.
Dar es Salaam. Mwaka 2025 umekuwa wa kipekee katika muktadha wa matumizi ya lugha ya Kiswahili, ambapo misemo ya jadi ya wahenga imewekwa kwenye mizani na kizazi kipya maarufu kama Gen Z hususan kupitia majukwaa ya kidijitali, wakijadili uhalali na matumizi yake katika maisha ya sasa.
Misemo hiyo haikuwa tu misemo ya kawaida bali ilivuka mipaka ya lugha na kuwa sauti kwa watu wengi wakiitumia wanapokuwa kwenye mitandao ya kijamii, vijiweni, ofisini, na hata kwenye mijadala ya kisiasa.
Kwa kuangalia kiasi ambacho misemo hiyo imeenea na kutumika katika jamii, Nukta habari tumekuletea misemo iliyovuma zaidi kwa mwaka 2025.
Latest
6 hours ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Januari 22, 2026
23 hours ago
·
Mwandishi
Fursa, EU ikiiondoa Tanzania katika orodha ya nchi hatarishi kifedha
1 day ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Januari 21, 2026
2 days ago
·
Kelvin Makwinya
Wananchi watakavyonufaika na usambazaji wa umeme katika vitongoji 9,009