Afya & Maisha · August 6, 2026 12:04 pm
Matumizi ya mshumaa katika mazingira yenye mzunguko mdogo wa hewa yanaweza kusababisha maumivu ya kichwa, athari katika mfumo wa upumuaji na homoni
Jiko Point · July 31, 2026 12:06 pm
Wanawake hao wanatoka katika vikundi 56 vilivyopo katika Wilaya za Kibaha, Mkuranga na Kisarawe zilizopo mkoani humo.
Nishati safi · July 31, 2026 11:06 am
Ni pamoja na uzalishaji, usambazaji, na biashara ya kaboni.
Nishati safi · March 21, 2026 7:16 am
Nishati safi inakupunguzia muda wa kukaa jikoni pamoja na kukupa uwezo wa kupika mapishi mengi.
Nishati safi · February 18, 2026 5:27 pm
Makamba atoa wito kwa sekta binafsi katika kuzalisha na kusambaza wa nishati safi ya kupikia ili kuongeza upatikanaji na kupunguza gharama.
Nishati safi · January 6, 2026 2:59 pm
Baadhi ya mama lishe wanadai kuwa vipato vyao ni vidogo kuwawezesha kununua majiko na gesi huku wengine wakikosa elimu sahihi ya faida za nishati hiyo.
Nishati safi · January 2, 2026 5:23 pm
Ni pamoja na kuwa karibu na gesi wakati wa kupika na kuitumia sehemu yenye hewa kubwa.
Biashara · December 26, 2025 8:57 am
Ikiwa unatafuta zawadi ya maana kwa krismasi au mwaka mpya jikopoint tunakupa chaguo ambalo unaweza kuwafurahisha wapendwa wako.
Maujanja · September 18, 2025 2:31 pm
Ni pamoja na muda unaotumika kupikia na aina za vyakula vinavyopikwa katika vifaa hivyo.
Nishati safi · August 22, 2025 5:06 pm
Luoga amesisitiza kuwa Serikali tayari imeanza kuunganisha kaya na taasisi katika mifumo ya gesi asilia, huku mitungi 452,000 ikiwa tayari imetolewa kwa wananchi.
Nishati safi · July 11, 2025 9:51 am
Sio muhimu tena kuuliza ni nani anapaswa kuwa na pressure cooker?
Nishati safi · June 13, 2025 7:02 pm
Ni katika kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ifikapo 2034.
Mapishi · May 27, 2025 10:50 am
Unaweza kupika chakula kigumu kama maharage au nyama kwa dakika chache tu, bila kupoteza ladha au ubora.
Maujanja · May 20, 2025 5:13 pm
Soma maoni na tathmini za wateja mtandaoni kuhusu aina ya kifaa kabla ya kununua.
Nishati safi · April 22, 2025 5:17 pm
Ni pamoja na kutosafisha pressure cooker baada ya matumizi na kufuata muongozo sahihi.