Matukio · May 15, 2026 1:11 pm
Ongezeko hilo ni matokeo ya kuongezeka kwa ushirikiano na mahusiano ya kidiplomasia nje ya nchi.
Matukio · April 21, 2026 4:00 pm
Kaulimbiu ya kongamano hilo ni Shiriki kulinda amani na mshikamano wa taifa, amani ni hazina yetu, mama na baba lishe.
Afya na Maisha · September 30, 2025 5:19 pm
TBS imesema imechunguza aina mbalimbali za mbogamboga na kubani kuwa hazina mabaki ya viwatilifu kama ilivyoripotiwa hivi karibuni.
Matukio · September 20, 2025 2:16 pm
Mwanadada huyu ni miongoni mwa wapishi wachache wanaoliwakilisha vyema bara la Afrika katika rekodi za dunia katika tasnia ya mapishi.
Matukio · September 16, 2025 4:57 pm
Mpishi maarufu wa Nigeria Hilda Baci, ameandika historia mpya baada ya kuvunja tena rekodi ya Guinness kwa kupika zaidi ya tani nane za wali wa jollof kwa muda wa saa nane
Matukio · February 27, 2025 6:54 pm
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua zoezi la ugawaji wa mitungi ya gesi ya kupikia (LPG) 452,445 yenye thamani ya Sh 8.64 bilioni akisisitiza kuongezeka kwa vituo vya kujazia gesi hiyo katika maeneo ya vijijini. Uzinduzi wa zoezi la ugawaji wa mitungi hiyo kwa bei ya ruzuku ya asilimia 50 kwa maeneo ya vijijini na asilimia […]
Matukio · February 26, 2025 4:54 pm
Serikali ya Tanzania imesema inatarajia kuanzisha shamba la miwa pamoja na ujenzi wa kiwanda kipya jijini Tanga ili kukabilana uhaba wa sukari ya viwandani uliopo nchini.
Matukio · February 22, 2025 3:05 pm
Wazimia kufikia mwaka 2035 nusu ya kahawa inayozalishwa Afrika iongezewe thamani.
Biashara · February 17, 2025 2:38 pm
Yawakutanisha wadau wa nishati kujadili mikakati ya kuendeleza nishati safi na salama ya kupikia wilayani Kisarawe mkoani Pwani
Matukio · February 13, 2025 8:09 pm
Mwanamuziki na mama lishe maarufu nchini Zuwena Mohamed (Shilole) amezindua kampeni ya ‘Mamalishe na Samia’ yenye lengo la kuongeza matumizi ya nishati safi kwa wafanyabiashara wanaojishughulisha na kuuza chakula nchini.
Matukio · February 11, 2025 7:05 pm
Ng’ombe 100 kati ya 500 wanaohitajika kwa ajili ya maandalizi ya nyama choma tayari wameshapatikana.
Matukio · February 10, 2025 5:09 pm
Serikali ya Tanzania imesema inaendelea na zoezi la utoaji wa ruzuku ya mitungi ya gesi ya kupikia (LPG) katika maeneo mbalimbali nchini huku ikianisha utaratibu wa wa kununua gesi kwa ruzuku hiyo.
Matukio · January 27, 2025 8:38 pm
Naibu Waziri Mkuu Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko amefungua mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi za afrika utakaofanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam huku akiwataka viongozi hao kujadili mbinu zitakaoongeza upatikanaji wa umeme Afrika.
Matukio · January 13, 2025 6:57 pm
Shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanayoathiri watu wengi katika nchi zenye uchumi mdogo na wa kati. Kwa mujibu ya Shirika la Afya Duniani (WHO) zaidi ya watu bilioni 1.3 duniani wanakabiliwa na tatizo hili huku wengi wao wakiwa hawafahamu kama wana ugonjwa huo unaochangiwa kwa kiasi kikubwa na mtindo wa […]
Matukio · January 8, 2025 4:06 pm
Kasi ya mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Disemba 2024 imeongezeka hadi asilimia 3.1 kutoka asilimia 3.0 ilirekodiwa Novemba ikichochewa zaidi na kupanda kwa baadhi ya bei za bidhaa za vyakula