Jiko Point
All
Afya Na Maisha
Biashara
Mapishi
Matukio
Maujanja
Nishati Safi
Vinywaji

Matukio · May 15, 2026 1:11 pm

Tanzania yakusanya Sh142 bilioni, mauzo ya nyama nje ya nchi yakipaa 

Ongezeko hilo ni matokeo ya kuongezeka kwa ushirikiano na mahusiano ya kidiplomasia nje ya nchi.

Matukio · April 21, 2026 4:00 pm

Serikali yaweka mikakati kuwainua mama, baba lishe Tanzania

Kaulimbiu ya kongamano hilo ni Shiriki kulinda amani na mshikamano wa taifa, amani ni hazina yetu, mama na baba lishe.

Afya na Maisha · September 30, 2025 5:19 pm

TBS: Mbogamboga hazina mabaki ya sumu, viuatilifu

TBS imesema imechunguza aina mbalimbali za mbogamboga na kubani kuwa hazina mabaki  ya viwatilifu kama ilivyoripotiwa hivi karibuni.

Matukio · September 20, 2025 2:16 pm

Mfahamu Hilda Baci mpishi maarufu anayevunja rekodi za Guiness

Mwanadada huyu ni miongoni mwa wapishi wachache wanaoliwakilisha vyema bara la Afrika katika rekodi za dunia katika tasnia ya mapishi.

Matukio · September 16, 2025 4:57 pm

Hilda avunja tena rekodi ya Guinness, apika tani 8 za Jollof kwa saa 8

Mpishi maarufu wa Nigeria Hilda Baci, ameandika historia mpya baada ya kuvunja tena rekodi ya Guinness kwa kupika zaidi ya tani nane  za wali wa jollof kwa muda wa saa nane

Matukio · February 27, 2025 6:54 pm

Rais Samia: Majiko banifu, vituo vya kuongeza gesi viongezeke vijijini 

Rais Samia Suluhu Hassan amezindua zoezi la ugawaji wa mitungi ya gesi ya kupikia (LPG) 452,445 yenye thamani ya Sh 8.64 bilioni akisisitiza kuongezeka kwa vituo vya kujazia gesi hiyo katika maeneo ya vijijini. Uzinduzi wa zoezi la ugawaji wa mitungi hiyo kwa bei ya ruzuku ya asilimia 50 kwa maeneo ya vijijini na asilimia […]

Matukio · February 26, 2025 4:54 pm

Serikali yajipanga kukabiliana na uhaba wa sukari ya viwandani

Serikali ya Tanzania imesema inatarajia kuanzisha shamba la miwa pamoja na ujenzi wa kiwanda kipya jijini Tanga ili kukabilana uhaba wa sukari ya viwandani uliopo nchini.

Matukio · February 22, 2025 3:05 pm

Mkutano wa G25 kuongeza thamani ya zao la kahawa duniani

Wazimia kufikia mwaka 2035 nusu ya kahawa inayozalishwa Afrika iongezewe thamani.

Biashara · February 17, 2025 2:38 pm

Tangsen yachagiza matumizi ya nishati safi ya kupikia Pwani

Yawakutanisha wadau wa nishati kujadili mikakati ya kuendeleza nishati safi na salama ya kupikia wilayani Kisarawe mkoani Pwani

Matukio · February 13, 2025 8:09 pm

Kampeni ya ‘Mamalishe na Samia kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia Tanzania

Mwanamuziki na mama lishe maarufu nchini Zuwena Mohamed (Shilole) amezindua kampeni ya ‘Mamalishe na Samia’ yenye lengo la kuongeza matumizi ya nishati safi kwa wafanyabiashara wanaojishughulisha na kuuza chakula nchini.

Matukio · February 11, 2025 7:05 pm

Arusha kuchoma nyama kwa kutumia gesi wakisherehekea siku ya wanawake duniani

Ng’ombe 100 kati ya 500 wanaohitajika kwa ajili ya maandalizi ya nyama choma tayari wameshapatikana.

Matukio · February 10, 2025 5:09 pm

Serikali yaanika utaratibu wa kupata mtungi wa gesi ya kupikia kwa bei ya ruzuku

Serikali ya Tanzania imesema inaendelea na zoezi la utoaji wa ruzuku ya mitungi ya gesi ya kupikia (LPG) katika maeneo mbalimbali nchini huku ikianisha utaratibu wa wa kununua gesi kwa ruzuku hiyo.

Matukio · January 27, 2025 8:38 pm

Afrika inavyoweza kuongeza upatikanaji wa umeme

Naibu Waziri Mkuu Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko amefungua mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi za afrika utakaofanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam huku akiwataka viongozi hao kujadili mbinu zitakaoongeza upatikanaji wa umeme Afrika.

Matukio · January 13, 2025 6:57 pm

Vyakula vinavyoshauriwa kwa wagonjwa wa shinikizo la damu ‘presha’

Shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanayoathiri watu wengi katika nchi zenye uchumi mdogo na wa kati. Kwa mujibu ya Shirika la Afya Duniani (WHO) zaidi ya watu bilioni 1.3 duniani  wanakabiliwa na tatizo hili huku wengi wao wakiwa hawafahamu kama wana ugonjwa huo unaochangiwa kwa kiasi kikubwa na mtindo wa […]

Matukio · January 8, 2025 4:06 pm

Ulezi, mkate, nyama vyapaisha mfumuko wa bei kwa mwezi Disemba Tanzania

Kasi ya mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Disemba 2024 imeongezeka hadi asilimia 3.1 kutoka asilimia 3.0 ilirekodiwa Novemba ikichochewa zaidi na kupanda kwa baadhi ya bei za bidhaa za vyakula

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
🔴LIVE: HII HAPA BAJETI KUU YA SERIKALI 2026/2027

🔴LIVE: HII HAPA BAJETI KUU YA SERIKALI 2026/2027

Nukta TV

Mashine za kukaushia rangi za kucha kutozwa ushuru kwa asilimia 10

Mashine za kukaushia rangi za kucha kutozwa ushuru kwa asilimia 10

Nukta TV

Wazee wa 'kubet' hii inawahusu, 5% kutozwa kwenye dau la kamari

Wazee wa 'kubet' hii inawahusu, 5% kutozwa kwenye dau la kamari

Nukta TV