Currencies

Currencies · June 25, 2026 9:00 am

Shilingi ya Tanzania yaendelea kuimarika dhidi ya Euro

Takwimu hizo zinaonyesha kuwa Euro imeshuka kwa Sh25 katika kiwango cha kununua na Sh25 katika kiwango cha kuuza ndani ya siku moja.

Currencies · June 24, 2026 10:07 am

Euro yaendelea kushuka dhidi ya Shilingi ya Tanzania

Takwimu hizo zinaonyesha kuwa Euro imeshuka kwa Sh47 katika kiwango cha kununua na Sh49 katika kiwango cha kuuza ndani ya kipindi hicho.

Currencies · June 23, 2026 9:38 am

Euro yaendelea kushuka, Dola yabaki tulivu Juni 23

Sarafu ya Umoja wa Ulaya (Euro) imeendelea kupungua thamani katika soko la fedha za kigeni nchini leo Juni 23, 2026 huku viwango hivyo vikionyesha kushuka katika benki za CRDB na NMB ikilinganishwa na jana.

Currencies · June 22, 2026 9:47 am

Rupia ya India, Shilingi ya kenya yaimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania Juni 22

Rupia ya India, Shilingi ya kenya zimeonyesha kuimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Juni 22, 2026 ikilinganishwa na viwango vya Alhamisi, Juni 18, 2026, huku sarafu kubwa za kimataifa zikishuka.

Currencies · June 15, 2026 10:57 am

Dola yaongezeka kwa Sh10 NMB yabaki tulivu CRDB

Wafanyabiashara na waagizaji wa bidhaa wanaotegemea dola kupitia NMB watalazimika kutumia fedha zaidi kidogo mwanzoni mwa wiki hii.

Currencies · June 10, 2026 9:14 am

Dola ya Marekani tulivu,sarafu nyingine zaongezeka kidogo Juni 10, 2026

Sarafu nyingine zilizoonyesha mabadiliko kidogo ni pamoja na Pauni ya Uingereza (GBP) Yuan ya China (CNY) na Rupia ya India (INR).

Currencies · June 9, 2026 9:06 am

Soko la fedha za kigeni lasalia tulivu, Euro, Sterling zikiendelea kushuka

Hali inayoonyesha kuwa hakuna mabadiliko makubwa ya mahitaji na upatikanaji wa sarafu hiyo kwenye soko.

Currencies · June 8, 2026 9:51 am

Euro yashuka kidogo dhidi ya Shilingi ya Tanzania wiki hii

Takwimu hizo zinaonyesha kuwa Euro imeshuka kwa Sh2 katika viwango vyote vya kununua na kuuza ndani ya wiki kwa Benki ya NMB.

Currencies · June 4, 2026 10:43 am

Soko la fedha za kigeni lasalia tulivu Juni 4, 2026

Hali inayoonyesha kuwa hakuna mabadiliko makubwa ya mahitaji na upatikanaji wa sarafu hiyo kwenye soko.

Currencies · June 3, 2026 9:39 am

Soko la fedha za kigeni lasalia tulivu Juni 3, 2026

Kutulia kwa viwango hivyo kunaonyesha kuwa mahitaji na upatikanaji wa dola yameendelea kuwa katika uwiano unaofanana.

Currencies · June 2, 2026 9:48 am

Dola ya Marekani yabaki tulivu Juni 2, 2026

Ni baada ya kuimarika kwa asilimia 0.5 ndani ya mwezi Mei

Currencies · June 1, 2026 12:40 pm

Dola ya Marekani yaimarika kwa 0.5% ndani ya mwezi mmoja

Ni katika kipindi cha kuanzia mwanzoni mwa mwezi Mei

Currencies · May 29, 2026 10:45 am

Pauni ya Uingereza yabaki imara dhidi ya Shilingi ya Tanzania Mei 29, 2026

Siku ya Jumatatu, sarafu hiyo ilinunuliwa kwa Sh3,361.12 na kuuzwa kwa Sh3,661.12, hali inayomaanisha kuwa hadi leo imeongezeka kwa Sh1.24 katika viwango vyote viwili.

Currencies · May 28, 2026 8:39 am

Dola, Euro na Pauni zaendelea kuimarika dhidi ya Shilingi Mei 28, 2026

Dola ya Marekani (USD) kupitia Benki ya CRDB imenunuliwa kwa Sh2,585 na kuuzwa kwa Sh2,665, huku kupitia Benki ya NMB ikinuNuliwa kwa Sh2,583 na kuuzwa kwa Sh2,663.

Currencies · May 25, 2026 10:09 am

Dola ya Marekani yaongezeka kwa Sh5 CRDB, yabaki tulivu NMB Mei 25, 2026

 Kwa upande wa NMB, Euro imenunuliwa kwa Sh2,903 sawa na wiki iliyopita huku kiwango cha kuuza kikiongezeka kutoka Sh3,176 hadi Sh3,177.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi kupima afya, kuacha uoga

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi kupima afya, kuacha uoga

Nukta TV

Uwepo wa vifaa, madaktari uendane na huduma inayotakiwa

Uwepo wa vifaa, madaktari uendane na huduma inayotakiwa

Nukta TV

Rais Samia: Maradhi ya moyo, saratani kwa watoto yaongezeka Tanzania

Rais Samia: Maradhi ya moyo, saratani kwa watoto yaongezeka Tanzania

Nukta TV