Dola ya Marekani tulivu kwa miezi mitatu Tanzania

July 13, 2026 9:23 am · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Ilikuwa ikishuka kwa wastani wa Sh25 ka bei ya kuuza na Sh5 kwa bei ya kununua.

Dola ya Marekani imeendelea kuwa tulivu dhidi ya shilingi ya Tanzania ndani ya miezi mitatu mfululizo kuanzia Mei 3, 2026.

Uchambuzi uliofanywa na Nukta Habari umebaini kuwa ndani yta kipindi hicho Dola ya Marekani ilikuwa ikishuka kwa wastani wa Sh25 ka bei ya kuuza na Sh5 kwa bei ya kununua.

Mei 3, 2026 Fedha hiyo yenye nguvu duniani iliuzwa kwa kupitia 2,650 na kununuliwa kwa Sh2,570 kupitia Benki ya CRDB.

Leo Julai 13, 2026 Kupitia Benki ya CRDB na NMB Dola moja ya Marekani imeuzwa kwa Sh2,675 na kununuliwa kwa Sh2,595.

Mwenendo huo tulivu unaweza kupunguza maumivu kwa Watanzania wanaoagiza mizigo na bidhaa kutoka nje, hali itakayofanya iwe rahisi zaidi kwa wanunuaji wa reja reja wa bidhaa hizo nchini.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
6 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
6 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Nukta TV

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Nukta TV

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Nukta TV