Currencies

Currencies · October 2, 2026 9:19 am

Shilingi yaimarika dhidi ya Euro, Pauni mwanzo wa Oktoba

Mabadiliko ya viwango vya Dola yalikuwa madogo ikilinganishwa na yale yaliyoshuhudiwa kwenye sarafu nyingine kuu.

Currencies · September 30, 2026 9:01 am

Dola ya Marekani yabaki tulivu mwezi Septemba

Kwa sasa, mtu anayehitaji Dola 1,000 kwa kiwango cha kuuza cha CRDB atalipa Sh2.68 milioni, wakati kiwango cha NMB ni Sh2.675 milioni.

Currencies · September 29, 2026 8:59 am

Shilingi ya Tanzania yaendelea kuimarika dhidi ya sarafu za kigeni

Pauni ya Uingereza CRDB inanunuliwa kwa Sh3,358.26 na kuuzwa kwa Sh3,759.26, wakati NMB inanunua kwa Sh3,296 na kuuzwa kwa Sh3,648.

Currencies · September 28, 2026 8:33 am

Euro yaendelea kuimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania

Mabadiliko ya thamani ya Euro yana umuhimu kwa wafanyabiashara wanaofanya biashara, wasafiri na wanafunzi. 

Currencies · September 25, 2026 9:18 am

Shilingi yaimarika dhidi ya Euro, Pound 

Dola ya Marekani imeendelea kuwa Sh2,600 kwa kununua na Sh2,680 kwa kuuza CRDB, huku NMB ikiwa Sh2,595 na Sh2,675, sawa na jana.

Currencies · September 24, 2026 9:34 am

Euro yashuka kwa Sh21.65 dhidi ya Shilingi ya Tanzania CRDB

Kwa mtu anayehitaji Euro 1,000 leo atalipa takribani Sh3.168 milioni, wakati jana angelipa takribani Sh3.189 milioni CRDB..

Currencies · September 23, 2026 8:25 am

Shilingi ya Tanzania yaendelea kuimarika dhidi ya Sarafu za kigeni

Currencies · September 22, 2026 8:19 am

Euro yapanda kwa Sh71.14 Benki ya CRDB kwa bei ya kuuza

Euro inapopanda dhidi ya Shilingi, bidhaa na huduma zinazolipiwa kwa Euro zinaweza kuwa ghali zaidi.

Currencies · September 21, 2026 8:32 am

Shilingi Tanzania yaendelea kuimarika dhidi ya Dola ya Marekani

Dar es Salaam. Shilingi ya Tanzania imeendelea kuimarika dhidi ya Dola ya Marekani, huku Benki ya CRDB ikiweka kiwango cha kununua Dola moja kwa Sh2,600 na kuuza kwa Sh2,680 leo Septemba 21, 2026. Kwa upande wa Benki ya NMB, Dola inanunuliwa kwa Sh2,595 na kuuzwa kwa Sh2,675 ikiwa ni sawa na kiwango kilichotumika wiki iliyopita. […]

Currencies · September 18, 2026 9:22 am

Shilingi ya Tanzania yaendelea kuimarika dhidi ya Dola ya Marekani

Currencies · September 17, 2026 9:40 am

Dola, Euro zaimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania

Kwa mujibu wa viwango hivyo, CRDB inanunua dola moja kwa Sh2,600 na kuiuza kwa Sh2,680.

Currencies · September 16, 2026 9:08 am

Pauni ya Uingereza yaimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania

Pauni ilikuwa karibu dola 1.3478, kiwango ambacho si mbali na bei yake ya chini ya wiki sita iliyofikiwa Jumatatu ya wiki hii.

Currencies · September 15, 2026 9:53 am

Pauni ya Uingereza yapanda CRDB, yashuka NMB

Kwa upande wa NMB, bei ya kununua pauni imeshuka kwa Sh12, kutoka Sh3,363 hadi Sh3,351.

Currencies · September 14, 2026 8:22 am

Dola ya Marekani yaendelea kuimarika dhidi ya shilingi Tanzania

Kwa pauni ya Uingereza, CRDB inanunua kwa Sh3,425.24 na kuuza kwa Sh3,725.24, huku NMB ikinunua kwa Sh3,363 na kuuza Sh3,718.

Currencies · September 11, 2026 8:34 am

Viwango vya fedha za kigeni vinavyotumika CRDB, NMB leo

Sarafu nyingine zilizo kwenye viwango hivyo licha ya kupanda na kushuka kwa baadhi ni Euro, Yuan ya China, Shilingi ya Kenya.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

Nukta TV

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

Nukta TV

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Nukta TV