Biashara

Biashara · August 14, 2026 3:08 pm

Samir Yassine ateuliwa CEO mpya BOA Tanzania

Kabla ya kuteuliwa kuwa bosi wa juu wa BOA Tanzania, Yassine alikuwa ni sehemu ya uongozi wa benki hiyo akihudumu kama Naibu Mkurugenzi Mtendaji anayesimamia biashara kwa kipindi cha miaka mitano kabla ya kutangazwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa BOA Uganda mwaka 2024.

Biashara · August 10, 2026 2:31 pm

BoT yafungua soko la dhamana za Serikali kwa wawekezaji wa kigeni

Mwekezaji yeyote asiye mkazi anaweza kushiriki katika dhamana za Serikali za muda mfupi na muda mrefu zinazotolewa na Serikali ya Tanzania.

Biashara · August 8, 2026 2:43 pm

Fursa au changamoto, idadi ya vituo vya kubadili fedha za kigeni ikipaa Tanzania

Wachambuzi wa uchumi wanasema kuongezeka kwa vituo hivyo ni fursa kwa wafanyabiashara na makampuni yanayojihusisisha na biashara hiyo.

Biashara · August 6, 2026 5:10 pm

Maboresho mifumo ya kibenki yanavyoweza kuathiri uchumi Tanzania

Pamoja na maboresho hayo, ni muhimu kwa taasisi za kifedha kuwa na mifumo mbadala ya utoaji huduma ili kuhakikisha huduma zinaendelea kutolewa hata pale mfumo mkuu unapokuwa katika matengenezo au unapokumbwa na changamoto za kiufundi.

Biashara · August 5, 2026 9:17 am

Ahueni bei ya mafuta ikishuka kiduchu

Bei ya petroli imepungua kwa Sh92 kwa lita, dizeli kwa Sh204 kwa lita, huku mafuta ya taa yakishuka kwa Sh440 kwa lita ikilinganishwa na viwango vya mwezi uliopita.

Biashara · August 4, 2026 12:43 pm

Hisa au hati fungani? Mtihani mkubwa kwa mwekezaji

Hisa humfanya mnunuaji kuwa sehemu ya umiliki wa kampuni, hati fungani humfanya mwekezaji kuwa mkopeshaji kwa Serikali au taasisi.

Biashara · July 29, 2026 1:33 pm

Vodacom Tanzania yapendekeza gawio la Sh23.91 kwa hisa 2026

Ikiwa gawio hilo litapitishwa itakuwa ni sawa na ongezeko la asilimia 23.8 ikilinganishwa na gawio la Sh20.20 lililotangazwa mwaka 2025.

Biashara · July 27, 2026 10:02 am

Kwanini ATM zinapungua Tanzania? 

Takwimu zinaonyesha ATM zilipungua kutoka 2,209 mwaka 2023 hadi 2,174 mwaka 2024, kabla ya kushuka zaidi hadi 1,981 mwaka 2025, ikiwa ni upungufu wa ATM 228 ndani ya miaka miwili, sawa na zaidi ya asilimia 10.

Biashara · July 24, 2026 5:57 pm

Faida Vodacom Tanzania yapaa mara tano, yafikia Sh47 bilioni

Faida hiyo ni mara tano zaidi kulinganisha na faida ya Sh8.5 bilioni iliyokusanywa katika kipindi kama hicho mwaka uliopita.

Biashara · July 24, 2026 11:02 am

Mixx powers cashless payments for Zanzibar’s electric bus project

Passengers will no longer need to carry cash when travelling. Instead, they will pay their fares using smart cards integrated with the Mixx digital payments platform.

Biashara · July 20, 2026 11:38 am

Zaidi ya mawasiliano: Vodacom inavyochochea mustakabali wa kidijitali Tanzania

Banda la Vodacom lilipata heshima ya kutembelewa na Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Daniel Chapo.

Biashara · July 18, 2026 1:37 pm

Hawa ndio wanasoka 5 wanaoingiza mkwanja mrefu zaidi duniani

Ni pamoja na Cristiano Ronaldo, Messi, Mbappe, Haaland na Vinicius Jr ambao wameendelea kuwa vinara ndani na nje ya uwanja.

Biashara · July 17, 2026 12:06 pm

FIFA kuuza kipande cha nyasi uwanja wa fainali Kombe la Dunia kwa Sh1 milioni

Ni vipande kutoka uwanja wa New York New Jersey nchini Marekani, kipande kikubwa zaidi kuuzwa Sh8 milioni.

Biashara · July 16, 2026 4:52 pm

Mfahamu ‘African Goose’ bata mwenye kilo 14 anayeuzwa Sh2 milioni

Shirika la chakula duniani (FAO) linaeleza kuwa nyama ya bukini ina kiwango kikubwa cha protini pamoja na madini muhimu kama chuma na zinki. 

Biashara · July 15, 2026 3:22 pm

Ifahamu mashine inayonyoyoa kuku watatu kwa dakika moja

Dar es Salaam. Katika biashara ya kuku, kasi, ubora na ufanisi ni mambo yanayoamua mafanikio. Kila dakika inayookolewa katika uzalishaji inaweza kuongeza maokoto. Kwa miaka mingi, wafugaji na  baadhi ya wachinjaji wamekuwa wakinyonyoa kuku kwa mikono njia inayotumia muda mwingi, nguvu kazi na gharama zaidi.  Lakini sasa itakuaje kama nikikuambia kuwa unaweza kunyonyoa kuku watatu […]

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Nukta TV

Ni changamoto gani zinawakabili vijana wa kitanzania kwa sasa ?

Ni changamoto gani zinawakabili vijana wa kitanzania kwa sasa ?

Nukta TV

Akili Unde (AI) ni suluhu ya habari za uzushi ?

Akili Unde (AI) ni suluhu ya habari za uzushi ?

Nukta TV