Bei ya ulezi yapaa mkoani Pwani
November 13, 2024 5:14 pm ·
Fatuma Hussein

Bei ya gunia la kilo 100 la ulezi mkoani Pwani imepaa kufikia Sh230,000 ikiwa ni mara tatu zaidi ya bei ya gunia la kilo 100 iliyorekodiwa mkoani Rukwa ya Sh75,000.
Wakati Rukwa wakiendelea kuneemeka na bei ya ngano Lindi imeendelea kusalia Sh400,000 ambayo ni mara tano zaidi ya ile inayotumika mkoani Rukwa ya Sh70,000 kwa gunia la kilo 100.
Latest
5 days ago
·
Waandishi Wetu
Mamilioni kuamua hatma ya Tanzania Uchaguzi Mkuu 2025 leo
5 days ago
·
Mwandishi
Pazia kampeni za uchaguzi lafungwa leo
5 days ago
·
Kelvin Makwinya
Yafahamu majimbo 46 yanayosubiri kura ya ndio au hapana
6 days ago
·
Fatuma Hussein
Kishindo cha wanawake majimboni 2025