Viwango vya kubadili fedha za kigeni leo Desemba 19,2024

December 19, 2024 9:57 am · Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link

Dola ya Marekani iliyokuwa ikinunuliwa kwa Sh2,290 na kuuzwa Sh2,440 kwa mujibu wa Benki ya CRDB jana imepanda Kwa Sh10 ambapo inanunuliwa Sh2,300 na kuuzwa Sh2,450 leo Disemba 19,2024 huku kwa upande wa Benki ya NMB Dola ya Marekani inaendelea kuimarika ambapo inanunuliwa Sh2,310 na kuuzwa Sh2,450 Alhamisi ya leo Disemba 17,2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks