Shilingi ya Tanzania yazidi kuimarika dhidi ya Dola
December 18, 2024 6:40 pm ·
Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link
Shilingi ya Tanzania yazidi kuimarika siku baada ya siku dhidi ya Dola ya Marekani. Ndani ya mwezi Disemba kulinganisha na mwezi uliopita ambapo Dola ilikuwa juu zaidi.
Kuimarika kwa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani ni shangwe kwa wafanyabiashara hasa wanaoagiza bidhaa nje ya nchi, kwasababu hutumia Dola kufanya malipo za bidhaa zao.
Hata katika soko la rejareja kutoka benki za biashara, shilingi imeimarika, viwango cha kubadili fedha (exchange rate). Benki ya CRDB vinabainisha kuwa Dola moja inauzwa Sh2,440 leo kutoka Sh2,740 ndani ya mwezi Novemba
Hata katika soko la jumla Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Shilingi imezidi kuimarika.
Tumia viwango hivi leo Disemba 18, 2024 kubadili Shilingi dhidi ya Dola ya Dola ya Marekani.
Latest
40 minutes ago
·
Nuzulack Dausen
Lissu ashinda uenyekiti Chadema – Mbowe
2 days ago
·
Lucy Samson
Rais Samia athibitisha uwepo wa Marburg Tanzania
2 days ago
·
Lucy Samson
Rukwa, Morogoro wasalia vinara wa ulaghai mtandaoni ukipungua kwa asilimia 19
2 days ago
·
Esau Ng'umbi
Necta yatangaza tarehe mtihani kidato cha sita 2025