Viwango vya kubadili fedha za kigeni leo Disemba 20,2024

December 20, 2024 2:48 pm · Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link

Dola ya Marekani iliyokuwa ikinunuliwa kwa Sh2,310 na kuuzwa Sh2,450 kwa mujibu wa NMB jana imepanda na kununuliwa kwa Sh2,352 na kuuzwa Sh2,789 leo Disemba 20,2024 huku kwa upande wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Dola ya Marekani inaendelea kuimarika ambapo inanunuliwa Sh2,435 na kuuzwa Sh2,460 Ijumaa ya leo Disemba 20,2024.

Tumia viwango hivi kubadili Shilingi ya Tanzania dhidi ya fedha za kigeni leo.

Enable Notifications OK No thanks