Viwango vya kubadili fedha za kigeni dhidi ya shilingi ya Tanzania leo Disemba 16, 2024

December 16, 2024 12:14 pm · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na CRDB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Disemba 16, 2024.

Viwango hivi, vinavyobadilika kutokana na mwenendo wa soko, pia husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks