VIDEO: Jinsi ya kujikinga na Corona msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka

December 19, 2020 10:09 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia magonjwa barani Afrika (CDC), watu wanaweza kusherehekea sikukuu hizo lakini wanahitajika kuchukua tahadhari.

Dar es Salaam. Mwaka 2020 umekuja na mambo mengi lakini kubwa zaidi ni ugonjwa wa homa ya mapafu wa Corona.

Kuelekea katika msimu wa sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya, huenda wapo watu ambao wapo njia panda juu ya kujikinga dhidi ya Corona wakati wakifurahia mapumziko. 

​Kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia magonjwa barani Afrika (CDC), watu wanaweza kusherehekea sikukuu hizo lakini wanahitajika kuchukua tahadhari. 

Ni tahadhari zipi hizo? Tazama video hii kuelewa.

                         

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
18 Aug, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
18 Aug, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Rais Samia: AFCON ni fursa, wawekezaji karibuni kuwekeza

Rais Samia: AFCON ni fursa, wawekezaji karibuni kuwekeza

Nukta TV

Utani wa Rais Samia, matokeo kati ya Simba na Yanga

Utani wa Rais Samia, matokeo kati ya Simba na Yanga

Nukta TV

Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Nukta TV