Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Mei 16, 2025
May 9, 2025 11:05 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Mei 16, 2025
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.
Hata hivyo, kwa upande wa Dola ya Marekani kutoka katika benki hizi imeendelea kutokuwa na mabadiliko yoyote takribani siku 5 mfululizo.

Latest

3 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia amtumia salamu Rais Putin, Urusi ikiadhimisha Siku ya Ushindi

6 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Si kweli: Rais Ibrahim Traore anajenga nyumba za bure Burknafaso

1 day ago
·
Kelvin Makwinya
Tanzania, Msumbiji zasaini makubaliano kufungua fursa kibiashara
1 day ago
·
Fatuma Hussein
Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni May 8, 2025