Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni May 5, 2025
May 5, 2025 12:24 pm ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo May 5, 2025
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

13 hours ago
·
Fatuma Hussein
Sh1.61 trilioni kutekeleza vipaumbele 10 wizara ya afya Tanzania

15 hours ago
·
Esau Ng'umbi
Lissu kuendelea kusota rumande, uchunguzi uhaini ukiendelea

4 days ago
·
Esau Ng'umbi
CCM yaahidi kutengeneza ajira milioni 8 ifikapo 2030

5 days ago
·
Kelvin Makwinya
Bajeti ya Wizara ya Ardhi yapungua kwa Sh7.2 bilioni 2025/26