Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Juni 4, 2025
June 4, 2025 9:52 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Juni 4, 2025
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest
4 hours ago
·
Waandishi Wetu
Sababu Kagera kununua mafuta kwa bei ya juu
6 hours ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Januari 9, 2026
18 hours ago
·
Lucy Samson
Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
22 hours ago
·
Goodluck Gustaph
Fahamu faida za kutumia mifumo rasmi ya fedha