Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Juni 16, 2025
June 16, 2025 10:08 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Juni16, 2025
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

2 hours ago
·
Fatuma Hussein
Wabunge walia bajeti ya kilimo, wakitaka mageuzi

4 hours ago
·
Esau Ng'umbi
Lissu kujitetea mahakamani, kesi ikipigwa kalenda

2 days ago
·
Kelvin Makwinya
Namna Tanzania inavyotaka kulinda viwanda vya ndani bajeti 2025/26

3 days ago
·
Fatuma Hussein
Serikali, wadau wa maendeleo wazindua kampeni ya Pika Smart