Tanzania yaimarisha mapambano dhidi ya Uviko-19

December 20, 2021 2:04 pm · Herimina
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imezidi kuimarisha hatua za kupambana dhidi ya janga la corona, ikiwemo mikakati ya kuongeza utoaji wa chanjo ya ugonjwa huo.

Mikakati hiyo ni pamoja na kuzindua awamu ya pili ya kampeni ya jamii shirikishi itakayoanza Desemba 22 mwaka huu jijini Arusha, ambayo  itahusisha watoa huduma ngazi ya jamii zaidi ya 8,130 waliopatiwa mafunzo ya kuelimisha na kuhimiza wananchi kupata chanjo ya Uviko-19.

Hadi Desemba 18 zaidi ya watu milioni 1.28 sawa na asilimia 2.2 ya watu wote Tanzania walikuwa wamekwisha chanja chanjo ya Uviko-19 na kupata kinga kamili.

Aidha Wizara ya Afya imeeleza kuwa visa vya Uviko-19 vinaongezeka kwa kasi na kuwaomba wananchi waendelee kuchukua tahadhari zote dhidi ya ugonjwa huo ikiwemo kunawa mikono.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
16 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
16 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nukta TV

Haya ndio maajabu ya iPhone Duo simu mpya kutoka Apple

Haya ndio maajabu ya iPhone Duo simu mpya kutoka Apple

Nukta TV

Kitakachotokea IGP, CDF na DCI wasipofika mahakamani kesi ya Lissu

Kitakachotokea IGP, CDF na DCI wasipofika mahakamani kesi ya Lissu

Nukta TV