Mwenendo wa viwango vya kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kati ya Juni na Julai

John Paul 1053Hrs   Julai 02, 2024 Chati & Data

Dola ya Marekani imeendelea kuimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania kwa mwezi Juni na kufikia Sh2,633 kwa Dola moja  leo Julai 2, 2024  kutoka Sh 2,599 iliyokuwepo Juni 3, 2024.

Related Post