Namna ya kuwasaidia ndugu, marafiki wanaopuuzia tahadhari dhidi ya Uviko-19

December 22, 2021 4:56 am · Herimina
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Wakati huu wa Uviko-19 ni  muhimu kuhimiza ndugu, jamaa na marafiki ambao wanapuuza kanuni za kujikinga na ugonjwa huo.

Moja ya vitu vya kuhamasisha ni uvaaji wa barakoa ambao kwa sasa umekuwa ukipuuzwa na watu wengi, hivyo kuweka hatari ya kuambukizana ugonjwa huo.

Hata hivyo, ni muhimu kuhakikisha kuwa unakuwa mfano wa kuigwa kwa kutekeleza kwa vitendo yale ambayo unahimiza wengine wayafanye ikiwemo kwenda kuchanja kinga ya Uviko-19 pamoja na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka kila wakati.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
26 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
26 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Nukta TV

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Nukta TV

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Nukta TV