Makosa ya kuepuka wakati wa kuvaa barakoa

August 23, 2021 1:59 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kuvaa barakoa chini ya kidevu au kutokuziba pua au mdomo.
  • Barakoa inatakiwa kutumika vizuri ili kumkinga mtumiaji wake na maambukizi.

Dar es Salaam. Uvaaji wa barakoa ni kati ya vitu vinavyoshauriwa na mamlaka za afya kama hatua za kuchukuliwa ili kukomesha usambaaji wa virusi vya Corona.

Hata hivyo, kutokana na baadhi ya watu kukosa elimu, wanajikuta wakitumia barakoa huku wakifanya makosa mbalimbali ya uvaaji kama kuivaa barakoa bila kufunika pua, kuning’iniza barakoa kwenye sikio moja, na kuivaa chini ya kidevu.

Hali hiyo inaweza kusababisha mtu kupata maambukizi ya ugonjwa wa Corona na hivyo matumizi yake ya barakoa yanakuwa hayana tija katika vita ya kupambana na kusambaa kwa virusi vya Corona.

Tazama video hii kona makosa ambayo baadhi ya watu wanayafanya katika matumizi ya barakoa.

                        

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
26 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
26 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Nukta TV

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Nukta TV

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Nukta TV