Mwanzo, mwisho wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza

September 9, 2022 11:33 am · admin
Share
Tweet
Copy Link
  • Ndiye mtawala wa muda mrefu zaidi katika historia.
  • Sasa Uingereza kuwa na mfalme mwanamke baada ya miaka 70 kupita.

Dar es Salaam. Hatimaye mara baada ya kuwa mtawala wa juu kabisa wa Taifa la Uingereza kwa muda wa miaka 70 na siku 274, Malkia Elizabeth wa pili amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96.

Taarifa za kifo cha malkia kilichotokea katika jumba lake huko Uskoti  zilichapishwa katika ukurasa rasmi wa Twita  wa familia ya kifalme jana Septemba 8, 2022. 

Malkia Elizabeth wa pili alishika wadhifa huo mwaka 1952 kufuatia kifo cha baba yake Mfalme George VI na kutawazwa rasmi mwaka 1953 ambapo aliiongoza Uingereza na mataifa mengine ambapo kwa sasa yamesalia 16.

Kwa sasa viongozi mbalimbali wanaendelea kutuma salamu za rambirambi ambapo Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameungana nao kutoa pole kwa familia ya kifalme pamoja na Uingereza kwa ujumla.

Kwa Mujibu wa taratibu za kifalme mtoto wa Kwanza wa Malkia Elizabeth II,Charles III ndiye Mfalme wa Uingereza ambapo anakuwa mfalme mwanaume baada ya miaka 70 kupita.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
15 Jul, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Kutana na ‘Poultry Plucker’, mashine inayonyonyoa kuku watatu kwa dakika moja

Kutana na ‘Poultry Plucker’, mashine inayonyonyoa kuku watatu kwa dakika moja

Nukta TV

Rais Samia: Kalamu yangu ina hatari, sijawahi kusaini mtu kunyongwa

Rais Samia: Kalamu yangu ina hatari, sijawahi kusaini mtu kunyongwa

Nukta TV

Rais Samia: Matumizi jina Samia, likiwa kila mahali inachosha, tafuteni wengine

Rais Samia: Matumizi jina Samia, likiwa kila mahali inachosha, tafuteni wengine

Nukta TV