Matokeo darasa la nne, kidato cha pili haya hapa

January 10, 2026 2:27 pm · Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la nne na kidato cha pili iliyofanyika mwaka 2025.

Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dk. Said Mohamed ametangaza matokeo hayo leo Januari 10, 2026 jijini Dar es Salaam.

Kupata matokeo ya darasa la nne bonyeza hapa…

Kupata matokeo ya kidato cha pili bonyeza hapa…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow Us on TikTok

Subscribe to Our YouTube Channel

Subscribe

Loading videos...

Loading videos...

Loading videos...

Enable Notifications OK No thanks