Matokeo kidato cha pili mwaka 2022 haya hapa

January 4, 2023 8:10 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Januari 2023 limetangaza matokeo ya mtihani wa Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2022.

Endelea kutufuatilia tutakuletea undani wa matokeo hayo. Kupata matokeo bonyeza kiunganishi hiki

Enable Notifications OK No thanks