Kasi ya maamukizi ya Uviko-19 yapungua Tanzania

September 8, 2022 2:20 pm · admin
Share
Tweet
Copy Link
  • Asimilia 60 ya walengwa wachanjwa chanjo ya Uviko-19.
  • Watu waonywa kuendelea kuchukua tahadhari.

Dar es salaam. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 nchini imepungua kutokana na hatua mbalimbali zinazochukuliwa kudhibiti ugonjwa huo.

Ummy katika taarifa ya mwenendo wa maambukizi ya Uviko-19 iliyotolewa leo Septemba 8,2022 imeeleza kuwa pamoja na kasi ya maambukizi mapya kupungua tayari asilimia 60 ya walengwa wa chanjo ya Uviko-19 wameshachanja.

Hata hivyo taarifa hiyo imeonya kwamba watu waendelee kuchukua tahadhari za ugonjwa huo ikiwemo kupata chanjo.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

Nukta TV

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

Nukta TV

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Nukta TV