Hatari ya aina mpya ya kirusi cha Uviko-19

November 6, 2021 7:41 am · Herimina
Share
Tweet
Copy Link
  • Kinasamba kwa kasi ya asilimia 30 mpaka 60.
  • Wataalam wa afya washauri watu kuendelea kuchukua tahadhari.

Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), kirusi kipya aina ya Delta cha Uviko-19 ni hatari zaidi kwa maisha ya watu kutokana na uwezo wa kujinyumbulisha na kuzambaza maambukizi.

linasambaa kwa kasi kubwa ikilinganishwa na virusi vingine kwenye wimbi la kwanza na la pili barani Afrika, limesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO.

Kirusi hicho ambacho kiko katika wimbi la tatu la janga la corona ni kibaya zaidi ikilinganishwa wakati wa mlipuko wa kwanza na wa pili kwani kasi yake ya kusambaa ni zaidi ya asilimia 30 mpaka 60.

Ufanye nini kujikinga na Uviko-19? Pata chanjo na chukua tahadhari hizi?

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
4 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
4 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
🔴 LIVE: WABUNGE WAKIMCHAPA MASWALI MAZITO WAZIRI MKUU BUNGENI

🔴 LIVE: WABUNGE WAKIMCHAPA MASWALI MAZITO WAZIRI MKUU BUNGENI

Nukta TV

TANTRADE: Tumieni vifungashio vya "Made in Tanzania"

TANTRADE: Tumieni vifungashio vya "Made in Tanzania"

Nukta TV

Nukta Africa ndani ya Africa Agri Expo 2026

Nukta Africa ndani ya Africa Agri Expo 2026

Nukta TV