Jinsi ya kuishinda taharuki ya kirusi kipya cha Uviko-19

December 10, 2021 9:17 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao unahofia maisha yako kuhusu aina mpya ya kirusi cha Corona cha “Omicron” ambacho kimeripotiwa katika maeneo mbalimbali duniani. Fahamu kuwa mapambano dhidi ya kirusi hicho yanaendelea na hutakiwi kuwa na hofu, endelea na maisha yako kama kawaida.

Katika kipindi hiki, pata chanjo ya Uviko-19, vaa barakoa, nawa mikono na epuka mikusanyiko isiyo ya lazima.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

Nukta TV

BoT: Vita Mashariki ya Kati vyaathiri bei ya mafuta na mbolea, soko la dunia

BoT: Vita Mashariki ya Kati vyaathiri bei ya mafuta na mbolea, soko la dunia

Nukta TV

BoT yashikilia CBR 6.25% kudhibiti mfumuko wa bei

BoT yashikilia CBR 6.25% kudhibiti mfumuko wa bei

Nukta TV