Hali ya Uviko-19 Tanzania

November 30, 2021 7:59 am · Herimina
Share
Tweet
Copy Link
  • Maambukizi ya ugonjwa huo yafikia 26,261 huku vifo vikiwa 730.
  • Wananchi wasisitizwa kuzingatia maelekezo ya kiafya kujikinga na Uviko-19.

Dar es Salaam. Hadi kufikia Novemba 19, 2021, Tanzania ilikuwa imeripoti visa vya ugonjwa wa Corona 26,261 na vifo 730.

Kutokana  na mwenendo wa Uviko-19 duniani, ambao hadi Novemba 29, 2021 umeshasababisha zaidi ya vifo milioni 5.2 duniani, Wizara ya Afya nchini imeendela kuwasihi wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo ikiwemo kupata chanjo ya Uviko-19, kuvaa barakoa wakati wote pamoja na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka.

Vilevile, Serikali inaendelea kufuatilia mwenendo wa  aina ya kirusi kipya cha Uviko-19 cha ‘Omicron’ na kufanya tathmini ya hatua madhubuti za kuchukua ili kukabiliana na wimbi la nne la Uviko-19.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
30 Sep, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
1 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
1 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Hiki ndicho walichokubaliana Waziri Katambi na madereva wa mabasi Dar

Hiki ndicho walichokubaliana Waziri Katambi na madereva wa mabasi Dar

Nukta TV

Katambi auzima mgomo wa madereva Dar, “Jambo la kukata pointi lisitishwe”

Katambi auzima mgomo wa madereva Dar, “Jambo la kukata pointi lisitishwe”

Nukta TV

Mgomo wa madereva: DC Ubungo atoa kauli, Polisi waking’oa namba za mabasi

Mgomo wa madereva: DC Ubungo atoa kauli, Polisi waking’oa namba za mabasi

Nukta TV