Election Coverage · October 29, 2025
Vyama 18 vinashiriki na kuufanya uchaguzi huu kuwa ndio uchaguzi uliohusisha vyama vingi zaidi na kusimamisha wagombea katika nafasi mbalimbali za uwakilishi.
Election Coverage · October 28, 2025
Vyama vyatumia kampeni za lala salama kujinadi ili kupigiwa kura kesho Oktoba 29.
Election Coverage · October 28, 2025
Hii ni kwa sababu katika majimbo hayo, hakuna mgombea mwingine kutoka vyama vingine vya siasa vilivyoonyesha nia ya kugombea.
Election Coverage · October 28, 2025
Ushiriki huo anaashiria kuwa juhudi za usawa wa kijinsia zinazaa matunda na kuongeza ajenda za wanawake katika Bunge la 13 la Tanzania litakaloanza mwaka huu.
Election Coverage · October 28, 2025
Utaratibu huo ni pamoja na kupewa kipaumbele katika vituo vya kupigia kura na kwenda na wasaidizi wanaowaamini.
Election Coverage · October 27, 2025
Uchaguzi wa mwaka huu wa 2025, wamejitokeza watatu wakivunja rekodi tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe 1992.
Election Coverage · October 27, 2025
Baadhi ya wananchi waliozungumza na Nukta TV wapo ambao ni kwa mara ya kwanza wanashiriki Uchaguzi Mkuu na wengine wameshiriki chaguzi zilizopita.
Election Coverage · September 13, 2025
Hatua hii imekuja baada ya mgombea huyo kushinda kesi aliyofungua kupinga uamuzi wa kuenguliwa kwenye mchakato wa uteuzi.
Election Coverage · September 9, 2025
Samia asema uwanja wa ndege utafungua fursa za kibiashara na ajira. Dar es Salaam. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi ujenzi wa viwanda pamoja na uwanja wa ndege mkoani Singida endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuendelea kuongoza nchi kwa miaka mitano ijayo. Akihutubia wananchi wa Singida Mjini leo Septemba […]
Election Coverage · August 28, 2025
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa ACT, Mahakama imeitaka Serikali kutoa majibu ya pingamizi ndani ya siku tano badala ya 14.
Election Coverage · August 28, 2025
Ushindani huo ulitokana na ongezeko la wanachama kutaka kuwania nafasi hiyo huku wengine wakitoka katika vyama vyao na kujiunga na CCM.
Election Coverage · August 27, 2025
Ni kutokana na madai ya ukiukwaji wa taratibu za kisheria katika mchakato wa uteuzi ndani ya vyama vyao.
Election Coverage · August 27, 2025
Hiyo ni kwa sababu alifuata taratibu zote za kisheria, ikiwemo kuteuliwa rasmi na chama, kutambulishwa kwa INEC na kukabidhiwa fomu kisheria.
Election Coverage · August 23, 2025
Othman amebainisha kuwa chama chake kimeamua kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 licha ya changamoto zinazotokana na mazingira ya kisiasa.
Election Coverage · August 18, 2025
Kwa mujibu wa Makalla vikao hivyo vitafanyika jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Agosti 21 na 23 mwaka huu.