
Election Coverage · September 13, 2025
Hatua hii imekuja baada ya mgombea huyo kushinda kesi aliyofungua kupinga uamuzi wa kuenguliwa kwenye mchakato wa uteuzi.

Election Coverage · September 9, 2025
Samia asema uwanja wa ndege utafungua fursa za kibiashara na ajira. Dar es Salaam. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi ujenzi wa viwanda pamoja na uwanja wa ndege mkoani Singida endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuendelea kuongoza nchi kwa miaka mitano ijayo. Akihutubia wananchi wa Singida Mjini leo Septemba […]

Election Coverage · August 28, 2025
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa ACT, Mahakama imeitaka Serikali kutoa majibu ya pingamizi ndani ya siku tano badala ya 14.

Election Coverage · August 28, 2025
Ushindani huo ulitokana na ongezeko la wanachama kutaka kuwania nafasi hiyo huku wengine wakitoka katika vyama vyao na kujiunga na CCM.

Election Coverage · August 27, 2025
Ni kutokana na madai ya ukiukwaji wa taratibu za kisheria katika mchakato wa uteuzi ndani ya vyama vyao.

Election Coverage · August 27, 2025
Hiyo ni kwa sababu alifuata taratibu zote za kisheria, ikiwemo kuteuliwa rasmi na chama, kutambulishwa kwa INEC na kukabidhiwa fomu kisheria.

Election Coverage · August 23, 2025
Othman amebainisha kuwa chama chake kimeamua kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 licha ya changamoto zinazotokana na mazingira ya kisiasa.

Election Coverage · August 18, 2025
Kwa mujibu wa Makalla vikao hivyo vitafanyika jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Agosti 21 na 23 mwaka huu.

Election Coverage · August 16, 2025
Nukta Habari imekuandalia orodha ya wagombea wa watakaochuana na Samia mgombea urais anayeomba ridhaa ya kuendelea kubaki madarakani.

Election Coverage · August 12, 2025
Dar es Salaam. Oktoba 29, 2025 Tanzania inaenda kuandika historia nyingine kwa kufanya Uchaguzi Mkuu ambapo Watanzania watachangua wawakilishi wao yaani madiwani, wabunge na Rais. Huo utakuwa Uchaguzi Mkuu wa saba tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1992. Vyama 18, kati ya 19 vyenye usajili wa kudumu, vimethibitisha kushiriki uchaguzi huo […]

Election Coverage · August 11, 2025
CCM kufanya harambee kukusanya Sh100 bilioni zitakazotumika wakati wa kampeni ya kuwanadi wagombea wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu.

Election Coverage · August 7, 2025
Jumla ya wapiga kura 37,655,559 wamesajiliwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu. Kati yao wanaume ni milioni 18,712,104 huku wanawake wakiwa milioni 18,943,455.

Election Coverage · August 6, 2025
Arusha. Wakati Tanzania ikiajiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu, ni kawaida kusikia au kuona taarifa nyingi zinazohusu tukio hilo katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Lakini kabla ya kusambaza au kuimini taarifa yoyote mtandaoni ni vyema kujiuliza maswali muhimu ambayo yanaweza kukusaidia kubaini ukweli katika taarifa hizo na kupunguza wimbi la kusambaza taarifa […]

Election Coverage · August 6, 2025
Kati ya 11 ni wawili tu waliotoboa kwenye hatua ya kura za maoni, huku wengine wakishindwa kufua dafu mbele ya washindani wao waliopata kura nyingi zaidi.

Election Coverage · August 6, 2025
Dar es Salaam. Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imempendekeza Luhaga Mpina pamoja na Aaron Kalikawe kuwa wagombea wa Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Uamuzi huo umetangazwa ikiwa imepita siku moja tu baada ya Mpina ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa na Waziri […]