Ripoti Maalum
Ripoti Maalum · August 13, 2026 11:03 am
Kuna aina kuu mbili za ugonjwa wa ‘bipolar’, kulingana na muundo wa vipindi vya mania/kichaa, hypomania na unyogovu.
Ripoti Maalum · July 29, 2026 9:01 am
Kwa kufanya hivyo, wanaweza kudhibiti changamoto za afya ya akili kabla hazijaathiri utendaji na maisha yao kwa ujumla.
Ripoti Maalum · July 28, 2026 9:00 am
Asilimia 86.2 ya wanaume wenye umri wa kuanzia miaka 15 na kuendelea nchini Tanzania wapo katika soko la ajira huku wanawake wakiwa asilimia 80.3.
Ripoti Maalum · July 9, 2026 10:16 am
Wazazi wa watoto wenye changamoto za viungo walia na gharama, ucheleweshaji wa huduma.
Ripoti Maalum · January 7, 2026 1:39 pm
Sehemu kubwa ya watu walionunua bidhaa mtandaoni wametapeliwa kwa mfumo wa utapeli unaofanana licha ya kutapeliwa na matapeli tofauti na waliopo mikoa tofauti.
Ripoti Maalum · January 6, 2026 1:35 pm
Leo katika sehemu hii ya pili tunaendelea kubainisha akaunti na mbinu zinazotumika kutapeli watu wanaotaka kununua bidhaa mtandaoni.
Ripoti Maalum · January 5, 2026 3:43 pm
Uchunguzi wetu wabaini baadhi ya matapei hubadili majina ya akaunti zao za mitandao ya kijamii hadi zaidi ya mara 10.
Ripoti Maalum · October 24, 2025 12:22 pm
Instead, its remote location has rendered it useless. Travelers and businesses have returned to the unregulated Sokoni bus stop.
Ripoti Maalum · October 15, 2025 9:38 am
Katika sehemu ya kwanza na ya pili ya series wa makala haya tuliangaza visababishi vya sikoseli, dalili na namna mashujaa wa sikoseli wanavyoishi.
Ripoti Maalum · October 14, 2025 10:45 am
Licha ya kupitia changamoto za kila siku katika maisha yao bado wanandoto za kuwa na familia na watoto ambao hawana vinasaba vya sikoseli.
Ripoti Maalum · October 13, 2025 11:36 am
Watoto takribani 14,000 huzaliwa na ugonjwa huo na watu 15 kati ya kila 100 nchini wana vinasaba vya sikoseli hali inayotishia mustakabali wa afya.
Ripoti Maalum · October 8, 2025 11:41 am
Kati ya manusura hao, wanaume ni 4,472 sawa na asilimia 22.6 au karibu robo ya manusura wote walioripotiwa katika kipindi hicho cha miezi 10.
Burudani · August 27, 2025 8:07 am
Tanzania’s Copyright and Neighbouring Rights Act, it only recognizes works made by human beings.
Ripoti Maalum · August 20, 2025 5:21 pm
“Tutapata wapi tafiti mpya kama mwanafunzi ametumia AI kuandika tafiti,” amehoji Dk. Amin ambaye hakubaliani na matumizi makubwa wa AI.
Ripoti Maalum · July 22, 2025 2:52 pm
They protect a company’s brand identity and differentiate its products in the marketplace.