Ripoti Maalum
Ripoti Maalum · January 7, 2026 1:39 pm
Sehemu kubwa ya watu walionunua bidhaa mtandaoni wametapeliwa kwa mfumo wa utapeli unaofanana licha ya kutapeliwa na matapeli tofauti na waliopo mikoa tofauti.
Ripoti Maalum · January 6, 2026 1:35 pm
Leo katika sehemu hii ya pili tunaendelea kubainisha akaunti na mbinu zinazotumika kutapeli watu wanaotaka kununua bidhaa mtandaoni.
Ripoti Maalum · January 5, 2026 3:43 pm
Uchunguzi wetu wabaini baadhi ya matapei hubadili majina ya akaunti zao za mitandao ya kijamii hadi zaidi ya mara 10.
Ripoti Maalum · October 24, 2025 12:22 pm
Instead, its remote location has rendered it useless. Travelers and businesses have returned to the unregulated Sokoni bus stop.
Ripoti Maalum · October 15, 2025 9:38 am
Katika sehemu ya kwanza na ya pili ya series wa makala haya tuliangaza visababishi vya sikoseli, dalili na namna mashujaa wa sikoseli wanavyoishi.
Ripoti Maalum · October 14, 2025 10:45 am
Licha ya kupitia changamoto za kila siku katika maisha yao bado wanandoto za kuwa na familia na watoto ambao hawana vinasaba vya sikoseli.
Ripoti Maalum · October 13, 2025 11:36 am
Watoto takribani 14,000 huzaliwa na ugonjwa huo na watu 15 kati ya kila 100 nchini wana vinasaba vya sikoseli hali inayotishia mustakabali wa afya.
Ripoti Maalum · October 8, 2025 11:41 am
Kati ya manusura hao, wanaume ni 4,472 sawa na asilimia 22.6 au karibu robo ya manusura wote walioripotiwa katika kipindi hicho cha miezi 10.
Ripoti Maalum · August 20, 2025 5:21 pm
“Tutapata wapi tafiti mpya kama mwanafunzi ametumia AI kuandika tafiti,” amehoji Dk. Amin ambaye hakubaliani na matumizi makubwa wa AI.
Ripoti Maalum · July 22, 2025 2:52 pm
They protect a company’s brand identity and differentiate its products in the marketplace.
Ripoti Maalum · July 15, 2025 12:14 pm
Dar es Salaam. Joel Amiri alishangazwa na mabadiliko ya ghafla ya tabia za watu waliomzunguka mwanzoni mwa mwaka 2020 akiwa nyumbani kwao mkoani Tabora. Alianza kuona majirani zake na wanafamilia wakiwa wamevaa barakoa na kila alipojaribu kuwasogelea karibu, walimuonesha ishara ya kumtaka akae mbali nao. Wakati yeye akishangaa mabadiliko hayo ya ghafla, wanajamii nao walimshangaa […]
Ripoti Maalum · July 2, 2025 5:32 pm
Kuchepuka katika ndoa si tu jambo la faragha kati ya wanandoa wawili, bali ni changamoto ya kijamii inayobeba athari kubwa kwa familia na taifa kwa ujumla.
Ripoti Maalum · June 27, 2025 12:02 pm
Takriban mtu mmoja kati ya watu wazima watatu duniani ana shinikizo la damu, huku viwango vikiwa juu zaidi kwa wanaume walio chini ya miaka 50.
Burudani · May 27, 2025 8:07 am
Tanzania’s Copyright and Neighbouring Rights Act, it only recognizes works made by human beings.
Biashara · April 17, 2025 4:02 pm
Katika harakati za kupambana na umasikini na kujikwamua kiuchumi, mikopo imekuwa moja ya silaha inayotegemewa na makundi mbalimbali hususan wanawake na vijana.