News

News · July 28, 2026 5:05 pm

Homa ya ini tishio duniani, Tanzania ikipunguza maambukizi

Kwa mujibu wa Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Eliud Eliakimu ugonjwa huo husababishwa na aina tano za virusi aina  A, B, C, D na E.

News · July 20, 2026 2:50 pm

Watakaohujumu SGR, bandari, meli Kigoma kumulikwa

Mpaka sasa, vipande viwili vya Dar es Salaam–Morogoro na Morogoro–Makutupora tayari vinatoa huduma, huku vingine vikiendelea na ujenzi

News · July 18, 2026 4:58 pm

Serikali ya Misri kutengewa eneo bandari ya Bagamoyo, Kwala

Marais hao pia wameshuhudia utiaji saini wa rasimu ya makubaliano kuhusu ushirikiano katika sekta mbalimbali za uchukuzi pamoja na makubaliano ya ushirikiano katika sekta ya uchukuzi. 

News · July 15, 2026 4:04 pm

Mfahamu mwanamke aliyeaminiwa kuandika historia mpya ya TBC

Mbaruk anakabidhiwa TBC katika kipindi ambacho sekta ya utangazaji inapitia mageuzi makubwa ya teknolojia kuliko wakati mwingine wowote. 

News · July 9, 2026 6:22 pm

130 wakamatwa kwa kuhamasisha uhalifu Tanzania

Ni baada ya Jeshi la Polisi kufanya ufuatiliaji wa karibu katika mitandao ya kijamii na majukwaa mengine.

News · June 30, 2026 3:09 pm

Gawio la Serikali lapaa kwa asilimia 30 lafikia Sh1.327 trilioni

Mchechu amesema utegemezi wa taasisi zisizo za biashara umeendelea kupungua kwa asilimia 12.8, hatua inayoonyesha kuimarika kwa ufanisi na usimamizi wa taasisi hizo.

News · June 26, 2026 2:27 pm

Serikali yasitisha tena mikutano ya siasa Tanzania

Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi asema lengo la uamuzi huo ni kuimarisha ulinzi na usalama wa nchi

News · June 25, 2026 1:27 pm

Wizara tano zilizoidhinishiwa fedha nyingi 2026/27

Dar es Salaam. Wakati Bunge la 13 likikaribia kufunga shughuli zake, wizara 27 pamoja na Serikali Kuu zimehitimisha mchakato wa kuwasilisha na kupitisha bajeti zao, hatua inayoweka msingi wa kuanza kwa mwaka mpya wa fedha 2026/27 Wizara hizo zilianza rasmi kuwasilisha bajeti zao Aprili 1, mwaka huu na kuhitimisha Juni 2, 2026, ikifuatiwa na Bajeti […]

News · June 23, 2026 1:30 pm

Bunge lapitisha bajeti ya Serikali 2026/27 kwa asilimia 97.66

Bunge la Tanzania limepitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 kwa asilimia 97.66 baada ya wabunge 385 kupiga kura ya ndio kuunga mkono bajeti hiyo

News · June 13, 2026 2:55 pm

Mwenendo wa deni la Taifa kwa miaka 10

Mwaka 2023 likafikia Sh77.01 trilioni na mwaka 2024 deni lilikuwa Sh97.35 trilioni sawa na ongezeko la asilimia 26.41 ndani ya mwaka mmoja. 

News · June 11, 2026 6:54 pm

Serikali yapendekeza kufutwa vocha za kukwangua maeneo ya mijini

Kufikia mwaka 2009, matumizi ya vocha za kukwangua yalikuwa yameenea sana nchini kiasi kwamba watu walikuwa hata wanazitumia kutumiana thamani kama mbadala wa pesa.

News · June 11, 2026 6:03 pm

Bajeti ya Serikali Tanzania yapaa hadi Sh62.33 trilioni

Serikali ya Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuongeza nguvu katika ukusanyaji wa mapato ya ndani, hasa kutokana na matarajio ya kupungua kwa misaada kutoka nje. 

News · June 11, 2026 5:35 pm

Deni la Serikali lapaa kwa asilimia 8.7, lafikia Sh114.34 trilioni

Licha ya deni hilo kupaa, Balozi Omar tathmini iliyofanywa Novemba 2025 imeonesha kuwa deni hilo ni himilivu katika kipindi cha muda wa kati na mrefu.

News · June 11, 2026 1:04 pm

Vipaumbele vitano bajeti ya Serikali mwaka 2026/27

Dodoma. Serikali imesema Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/27 itajikita katika maeneo matano ya vipaumbele ikiwemo kujenga uchumi imara, jumuishi na shindani ikiwa ni mwanzo wa safari ya utekelezaji wa Dira 2050 inayolenga kuwa na uchumi wa Dola za Marekani trilioni moja.  Katika hotuba yake ya hali ya uchumi wa Taifa, Waziri wa Nchi, Ofisi […]

News · June 4, 2026 4:52 pm

Rais Samia atunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Heshima

Watanzania 5,000 wamewahi kusoma katika vyuo vya Urusi na iliyokuwa Umoja wa Kisovieti, huku wengi wanaorejea nchini humo hutoa mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Jinsi afya ya akili inavyowatesa wanawake makazini

Jinsi afya ya akili inavyowatesa wanawake makazini

Nukta TV

Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Nukta TV

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Nukta TV